Yaani unakuta kuna link ya WhatsApp ila sio ya group ni namba ya mtu ila ukiibonyeza tu inalupeleka WhatsApp na unakuta automatically ishajiandika ujumbe kazi yako ni kusendi uwo ujumbe uliokuta tayari umejiandika je huwa wanaseti vipi hapo